Monday, September 10, 2012

my story

WILBERT GWIDO  NAISHI IRINGA TOWN























Dunia inavitu vingi sana ambavyo wewe na mimi bado tunahitaji nguvu ya ziada kuvijua kwa majina pia na
   kazi yake bila kujali ni kazi gani au vya kazi gani lakini ndugu yangu ujasiliamali ni kitu ambacho mimi na
 wewe  hatuna budi kujishuhgulisha  kwa hiyo watu wengi hasa waafrika tuna tamaduni ya kudharau kazi
   kumbe kazi ni kipato ambacho wewe kinaweza kukupa au wenzetu wanasema ni kile kinacho sababisha
mimi na wewe midomo icheze yaani mkono kwenda kinywani.
Sina budi pia kusema mjasiliamali anahitaji mtaji ndugu lakini nani wakumpa mtaji mimi sijui ila nguvu na akili vinajua yaani wewe na mimi tukisilizana kwa makini tutapata mambo mzuri sana hakika dunia hii watu wanasema ya wenye pesa hapana kwani wewe umekataliwa usiwe pesa naamini ukijituma lazima upate. Naitwa WILBERT GWIDO FIDELIME MLYAPATALI ni mjasiliamali.
Sasa mimi maishani mwangu napenda  sana kusoma lakini sina  uwezo wa kulipa ada kwa sababu nina mdogo wangu  yupo darasa la saba kichwa ni mimi kiujumla sina pesa lakini mimi ninajishughulisha sana
 Naamini lazima nifanikiwe.poleni sanaa wapenzi au wapendwa wadunia nzima kwa kutulia lakini kukaa kimya ni kujipanga sana ni namna gani ya kukupa stori iliyo tulia lakini hata kama haita kufulrahisha lakini bnaomba usome kwa makini.
 Watanzania ni watu wenye moyo huruma lakini kutokana na matapeli watu wanaweza kutumia blogfs kudanganya lakini sio wote ni walewale.Ukweli ni kwamba mimi ninafanya kazi tigo lakini sio kazib ambayo inaweza kunisaidia lakini kwakawaida kila kazi inayoingiza kipato ni kazi lakini nani anatafuta bila kufikiria kesho hata kama wanasema kwamba leo ni leo angojae kesho ni muongo je kwanini uwa tunapanga kusagfiri kesho au kwanini tunapenda kuweka maandalizi fulani kama kumuanda mwanafunzi awe wa chuo,secondary
,primary na kozi mbalimbali kwanini usisema siku ya siku nina maana kwamba kama leo ni shule aandaliwe siku hiyo hiyo.